Tuesday 26 October 2010

Tangazo Kwa Wapenzi Mapishi Ya Nyumbani

Samahani wapenzi wa blog nilipotea kidogo kwa ajili ya kujifungua mtoto wiki nne zilizopita. Kwa hiyo nilisimama mapishi kwa muda kwani ni vigumu kutoka kujifungua na kuangia jikoni pamoja na kulea mtoto mchanga. Mimi na mtoto tunaendela vizuri na natarajia kurudi kwenye mapishi na kupublish blog Tarehe 10/11/2010. Kwa sasa nitapitia na kupublish maswali yaliyoulizwa na wadu wa blog na ningependa tuchangie kutoa majibu ya maswali haya.

Asanteni sana wapenzi wote wa blog hii.

9 comments:

  1. Hongera sana kwa kujifungua salama na kuendelea vizuri wewe pamoja na mtoto. Umetuletea mtoto gani? Be Blessed

    ReplyDelete
  2. Asante Nancy, nimepata mtoto wa kiume. Ndio mtoto wangu wa kwanza, kwa hiyi nina mengi ya kujifunza kama mzazi.

    ReplyDelete
  3. hongera mpenzi mungu akukuzie mwanao na ww upate afya njema ili uweze kumpa malezi mazuri mwanao

    ReplyDelete
  4. Hongera sana mpenzi,Mwenyezi Mungu akukuzie na wewe uendelee vizuri na kumlea huyo kijana.

    ReplyDelete
  5. Hongera kwa kujifungua salama. Hongera sana.
    Mimi ni mdau niliyekushauri uandike kitabu. Ninakushangilia sana ndugu yangu.

    ReplyDelete
  6. asanteni sana wadau wote kwa pongezi.

    ReplyDelete
  7. Good news, and God bless you and your family...

    Euston Pal

    ReplyDelete
  8. hongera sana na pole kwa uchovu wa uzazi,tuliza mgongo wadau tutakungoja

    ReplyDelete