Tuesday 9 August 2011

My favorite takeaway


Chinese:
Kitu nachopendea chakula cha kichina ni jinsi wanavyopika vegetable zao yaani huwa hawaziivishi kabisa, Yani wanazipika kidogo tu.Kwahiyo ukiwa unazila yani unapata ladha halisi ya hizo vegetable.
Basi kama uonavyo kwenye picha kuna beef fried rice na beef in chillie oil iliyochanganywa na vegetable.
Tofauti ya hii stir fried rice ni kwamba hawakutia soy sauce, ila chakula kilikuwa kitamu na nilikienjoy pia.

2 comments:

  1. hello ! i love ur mapishi yani nimeenjoy sana kuview ur blog,u hv such good staff hre ss.olove it,big up sis..

    ReplyDelete
  2. Thanks mdau, ur welcome.

    ReplyDelete