Mara chachechache kwa wiki huwa napendelea kula vyakula vya nje. So nimeona sio vibaya kama niki-share nanyi hili.
My favorite take away yangu ya kwanza ni Nandos. Mi huwaga napenda kuku wao especially wings. Basi kama uonavyo kwenye picha, kuna chips, periperi wings, salad na spicy mixed olives bila kusahau sauce yao.
No comments:
Post a Comment