Mapishi Matamu

Mapishi Matamu ni blog ya kujifunza jinsi ya kupika mapishi mbalimbali ya kitanzania, mapishi ya kiswahili kama mapishi ya wali, Pilau, Biriani. Jinsi ya kupika mboga mbalimbali kama, mapishi ya kuku, samaki, maharage nakadhalika. Pia Mapishi matamu blog ina mapishi ya vitafunio mbalimbali kama, mapishi ya keki, maandazi, vitumbua, kachori nakadhalika.

Wednesday, 5 October 2011

Seabass wa kuokwa na chips (takeaway)

›
Hii pia ni moja ya favorite takeaway yangu. Mara nyingi huwaga nikichoka kula vyakula vya kichinese na vya kihindi au nandos huwa napenda ...
1 comment:
Wednesday, 28 September 2011

Mapishi ya samaki aina ya salmon

›
Wakati mwingine mtu unakuwa umechoka na usingependa kupoteza muda jikoni, so mlo wa chapchap unakuwa ni wazo zuri, Mlo huu ni rahisi kuuand...
Thursday, 22 September 2011

Mapishi ya mboga mchanganyiko

›
Mahitaji Viazi ulaya 4 vya wastani Hoho jekundu 1/2 Hoho la njano 1/2 Hoho la kiajani 1/2 Njegere 1 kikombe cha chai Carrot 1 kubwa ...
2 comments:
Friday, 16 September 2011

Mapishi ya choroko

›
Mahitaji Choroko kikombe 1 na nusu Nazi kopo 1 Kitunguu kikubwa 1 Nyanya 1/2 kopo Swaum 1 kijiko cha chai Curry powder 1 kijiko cha c...
2 comments:
Monday, 12 September 2011

Jinsi ya kutengeneza coleslaw

›
Mahitaji Kabichi iliyokatwa nyembamba 2 vikombe Carrot iliyokwaguliwa 1 Kitunguu 1/4 kilichokatwa vyembamba Yogurt au mayonnise 1/2 kik...
Wednesday, 7 September 2011

My favorite takeaway

›
Lebanese Kikawaida mimi nikiamuaga kula vyakula vya nje, huwaga napenda kujaribu  vyakula kutoka nchi mbalimbali ili kuona ni jinsi gan...
2 comments:
Saturday, 3 September 2011

Mapishi ya Kabichi

›
Mahitaji Kabichi  1/2 kilo Nyanya ya kopo 1/2 Kitunguu 1 Curry powder 1/2 kijiko cha chai Chumvi Olive oil Matayarisho Kwanza kabisa bandu...
1 comment:
›
Home
View web version
Powered by Blogger.