Wednesday, 5 October 2011

Seabass wa kuokwa na chips (takeaway)Hii pia ni moja ya favorite takeaway yangu. Mara nyingi huwaga nikichoka kula vyakula vya kichinese na vya kihindi au nandos huwa napenda kula samaki wa kuokwa katika mgahawa wa kilebanese ninaoupenda. Hapa nili-order samaki wa kuokwa na chips na salad. Huu ni mlo mzuri wa afya isipokuwa chips tu. Kama ukitaka kuoka samaki mzima kama huyu, muhimu tu kumkata miraba kila upande na kum-marinate masaa matatu hadi sita ili aingie viuungo vizuri na kumuoka kila upande dakika kumi katika moto usiokuwa mkali sana.

1 comment:

  1. Happy New Year! Hope you are doin fine, we miss you especially your recipes.

    ReplyDelete