Wednesday, 7 September 2011

My favorite takeaway

Lebanese
Kikawaida mimi nikiamuaga kula vyakula vya nje, huwaga napenda kujaribu  vyakula kutoka nchi mbalimbali ili kuona ni jinsi gani mapishi yao yako tofauti na yakwetu, na ikitokea nimekipenda chakula chao huwaga natafuta recipe zake na kujaribu kupika mwenyewe nyumbani.
Basi kama uonavyo kwenye picha, kuna wings, ambazo zimemarinatiwa vizuri kisha zikachomwa (grill wings, chips na salad. Hizo wings zao ni tamu kwelikweli.

2 comments:

 1. Sorry kwa kuuliza swali lisiloendana na post husika. Nimesoma post moja umelekeza namna ya kukanda unga wa maandazi ukashauri at least dakika kumi na tano za kukanda. Hivi dadaa kuna mashine za kukanda? kama unafahamu brand/jina tafadhali nishtue.

  Kila la heri
  Mdau Australia

  ReplyDelete
 2. Asante mdau kwa comment, zipo machine nyingi tu za kukandia unga,Ni vizuri uka google machine for mixing and kneading dough na ukafanya uchunguzi wa kina. Kwani mimi sina hiyo na itakuwa vigumu kupendekeza utumie ipi. Mi niliyokuwa nayo ni food processor brand ya Kenwood yani hiyo ni mult task, unaweza kukatia nyanya, vitunguu na vitu vingine kibao sio hivyo tu pia inakukandia na unga juu.
  Gudluck.

  ReplyDelete