Sunday 10 July 2011

Shukrani

Tumefanikiwa kushika nafasi ya pili kaitka Tanzania blog Awards 2011 kwenye Best Food Blog category. Ningependa kuwashukuru wapenzi wote wa blog hii kwa kukuipigia kura blog yetu na hatimaye tumefanikiwa kushika nafasi ya pili. Najua bila mchango wenu nisingepata hata hiyo nafasi ya pili.

Tutaendelea kupika na ku-share ideas recipe ideas kama kawaida. Nawaalika wapenzi wote wa blog hii ku-share mapishi yao na hata vyakula vya  kununua vya favourite restaurant and take away kwa kunitumia email na picha  pamoja na maelezo. email ni  asher-86@hotmail.co.uk

In the next post I will share my favourite eating out meals.

Asanteni sana

Mama ntilie

2 comments:

  1. Tunashukuru pia kwa kutuletea mapishi mbalimbali mazuri na ambayo ni rahisi kutayarisha, all the best!

    ReplyDelete
  2. Thanks Nancy

    ReplyDelete