Sunday 26 June 2011

Taarifa muhimu

Natumai wapenzi wa blog hii mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku. ktk pitapita zangu  kwenye blog flani hivi nimekuta kuwa blog yetu imechaguliwa kushindania tunzo za blog bora za Tanzania ( Tanzania blog awards) sasa basi kama mngependa na blog yetu ishinde ktk tuzo hizo Hatuna budi kuipigia kura blog yetu.
Ukitaka kupiga kura unatakiwa kutembelea http://www.tanzanianblogawards.com/ Baada ya hapo angalia upande wa kulia kisha shuka chini kidogo  utaona maneno yanasema Best Food Blog na hapo utaiona blog yetu na nyinginezo click ktk http://mapishimatamu.blogspot.com/ kisha vote na hapo utakuwa umeipigia kura blog yetu kwa ajili ya kushinda.
Asanteni sana wote

Mama ntilie

2 comments:

  1. Mimi nilishapiga kura maana niliiona hiyo site. Shime tuipigie kura blog yetu! maana mapishi ya humu kweli matamu.

    ReplyDelete
  2. Asante sana Nancy kwa kura yako najua wewe ni mpenzi sana wa hii blog sababu napata comment nyingi sana kutoka kwako.Usiishie hapo tu.
    Pls kama unazo recipes ambazo ungependa nizipublish usisite kunitumia.
    Thanx

    Mama ntilie

    ReplyDelete