Tuesday 31 May 2011

Tangazo

Samahani wapenzi wa blog ya mapishi matamu kwa ukimya wangu.Nasikitika kusema kwamba sitoweza kuweka new recipe kwa sasa kwa maana laptop yangu inakwikwi kwa hiyo nimeipeleka kwa fundi itakapopona tutaendeleza libeneke Kama kawaida Asanteni kwa uvumilivu wenu.


Mama ntilie

1 comment:

  1. thanx too for informing us, I was wondering...? Maana sio kawaida yako, tuko pamoja!

    ReplyDelete